yaani maana na matumizi(kwa Kiswahili)

Yaliyomo

  Maana ya yaani

  • neno linalotumika ili kutilia mkazo au kutolea mfano maelezo aliyotoa mtu Gari lenyewe si zuri sana, yaani halipendezi.

  Yaani kwa Kiingereza

  i.e.. id est. that is (to say).

  Herufi za Alfabeti

  Chagua herufi ili kuona maneno ya Kiswahili yanayoanza na herufi hiyo.

  A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z