abiria maana na matumizi(kwa Kiswahili)

Yaliyomo

    Maana ya abiria

    • mtu anayetoka mahali fulani na kwenda pengine kwa kutumia chombo kwa mfano basi, treni na kadhalika na ambaye si mfanyakazi wa chombo hicho

    Abiria kwa Kiingereza

    travel to. pl maabiria, passenger. (< abiri v-Arabic).

    Herufi za Alfabeti

    Chagua herufi ili kuona maneno ya Kiswahili yanayoanza na herufi hiyo.

    A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z