1.
abiri
(abiria, abirika, abirisha)
-
safiri kwa chombo cha majini kutoka upande mmoja wa mto, ziwa au bahari hadi upande mwingine
Tuliabiri bahari kwa meli.
-
ingia chombo cha kusafiri kwa mfano basi, meli, mashua na kadhalika
2.
abiri
(abiria, abirika, abirisha, abiriwa)
-
toa maelezo ya kitu kwa usahihi na kwa kueleweka vyema
-
eleza jambo litakalotokea kabla ya kutokea kwake
3.
abiri
(abiria, abiriana, abirisha)
-
pata fundisho kutokana na jambo fulani
Abiri kwa Kiingereza
cross (river or lake or sea).
go (i.e. travel as a passenger).
pass over.
travel (as passenger).
travel (by sea).
Herufi za Alfabeti
Chagua herufi ili kuona maneno ya Kiswahili yanayoanza na herufi hiyo.