Swahili24.com

abudu maana na matumizi(kwa Kiswahili)

1. abudu (abudia, abudisha, abudiwa)

  • omba Mungu kufuatana na imani fulani

2. abudu (abudia, abudiana, abudisha, abudiwa)

  • penda kitu au mtu sana

3. abudu

  • mtoto wa bandia

Translation in english

fear. abudu Mungu. Fear God.. pray. abudu Mungu. Pray to God.. (< ibada N). [Cf. ibada, uabudiwaji, maabadi, maabudu, mwabudu] serve. abudu Mungu. Serve God.. worship. abudu Mungu; walivyoabudu [Masomo 305]. Worship God; the way they worshipped.. (< Arabic).

© 2023 Swahili24.com