Swahili24.com

abiri maana na matumizi(kwa Kiswahili)

1. abiri (abiria, abirika, abirisha)

  • safiri kwa chombo cha majini kutoka upande mmoja wa mto, ziwa au bahari hadi upande mwingine Tuliabiri bahari kwa meli.
  • ingia chombo cha kusafiri kwa mfano basi, meli, mashua na kadhalika

2. abiri (abiria, abirika, abirisha, abiriwa)

  • toa maelezo ya kitu kwa usahihi na kwa kueleweka vyema
  • eleza jambo litakalotokea kabla ya kutokea kwake

3. abiri (abiria, abiriana, abirisha)

  • pata fundisho kutokana na jambo fulani

Translation in english

cross (river or lake or sea). go (i.e. travel as a passenger). pass over. travel (as passenger). travel (by sea).

© 2023 Swahili24.com