Swahili24.com
abedari
maana na matumizi(kwa Kiswahili)
1.
abedari
roda inayotumiwa kuvutia vitu kwenye jahazi
2.
abedari
neno linalotumika kumtahadharisha mtu
Translation in english
Look out!. Take care!. Watch out!. [also: h
abedari
!, bedari!] pl
abedari
, block (used on dhows). (< port?). pl
abedari
, pulley (used on dhows). (< port?).
<< Neno Lililotangulia
(abdi)
Neno Lifuatalo >>
(abee!)
English
Kiswahili
© 2023 Swahili24.com