Swahili24.com
aathari
maana na matumizi(kwa Kiswahili)
aathari
mabaki (yatokanayo) na vitu vya zamani vinavyohusiana na mila, utamaduni na desturi za watu wa jamii fulani kwa mfano
makaburi ya wafalme, nyumba, mahekalu, vigae vya vitu vya ufinyanzi na kadhalika
<< Neno Lililotangulia
(aalimu)
Neno Lifuatalo >>
(aazi)
English
Kiswahili
© 2023 Swahili24.com