aathari maana na matumizi(kwa Kiswahili)

Yaliyomo

    Maana ya aathari

    • mabaki (yatokanayo) na vitu vya zamani vinavyohusiana na mila, utamaduni na desturi za watu wa jamii fulani kwa mfano makaburi ya wafalme, nyumba, mahekalu, vigae vya vitu vya ufinyanzi na kadhalika

    Herufi za Alfabeti

    Chagua herufi ili kuona maneno ya Kiswahili yanayoanza na herufi hiyo.

    A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z