Swahili24.com
aalimu
maana na matumizi(kwa Kiswahili)
1.
aalimu
mtu aliyebobea katika elimu ya dini ya Kiislamu
2.
aalimu
mwenye elimu kubwa ya dini ya Kiislamu
<< Neno Lililotangulia
(aali)
Neno Lifuatalo >>
(aathari)
English
Kiswahili
© 2023 Swahili24.com