Swahili24.com

aa! maana na matumizi(kwa Kiswahili)

1. aa!

  • neno linalotumika kuonyesha kutoridhika
  • tazama ahaa!

2. aa!

  • ni neno la kuonyesha mshangao,furaha au kukubali ahaa!
  • neno la kuonyesha uchungu aa!
  • neno la kuonyesha kukataa

Translation in english

expresses joy. expresses pain. expresses surprise.

© 2023 Swahili24.com